Hahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone
"Kuna watu wanapendeka" yaani dota acha kabisa, ila kufikia kuota pamoja!!! Mungu aniepushe.Hahaa kumbe sisi tunatania kabisa aisee. Ila naamini unaweza kumpenda mtu haswaaa ila tu usimpende kuliko unavyojipenda mwenyewe (dont forget to love yourself). Kuna watu "wanapendeka" jamani so unajikuta tu unapondeka, you can't resist loving them. Ila don't lose your sense and self worth in the name of loving someone
Ni sawa hawa wazazi wanafunzi wasirudi shule?Wamekosa utashi wale ni km wanetu au wadogo zetu kitendo cha kumla nyama ni kibaya sana
Shuleni kwangu ilishatokea sana tu ila niliongea na kushtaki kwa mkuu wa shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbiti acha ujeuri, oteni pamoja shaurilo
Hahahaaaaa!!haaaaaaaaaaaahhhhhh! we nakujua !dah hapana aiseee!
Kwa mfano umeolewa mume wako aka-cheat mara moja ukagundua. Ndio basi ndoa imevunjika au utampa second chance!I DETEST CHEATING, sijui hata nisemaje aisee
Inaishiaje kwako sasa!! Inabidi auntie zangu warithi bwana.mimi nimeishi maisha ya kumpenda mtu kuliko mimi mwenyewe ! hivi sijui nililogwa !mara nyingi nakuwa najiuliza naishia kukasirika tu !ingawa wanadai upendo hahuhesabu mabaya/mema hapana jaman !
hii roho ya kupenda kisukuma namna hii iishie kwangu jaman !kabisa jaman !sitak mm !
Tukigeneralise hatutaweza kufikia muafaka. Nimesema hakuna mtu anapenda mwenzi wake acheat. Aidha sababu za kufikiria kucheat zipo nyingi ikiwa wakati mwingine ni tamaa na peer groups. Kwa mtu mzima ambaye anaoa akiwa 30 or above na binti angalau 28 and above, wazo la kucheat ni mtihani wa engineering mathematics kwake. Wengi wataamua kucheat shingo upande ila wakinogewa haoooo! Kwa watu wazima kucheat kunasababishwa na both parties. Kindly note namanisha mwanaume na mwanamke wanaweza kucheat kutokana na mapungufu ya wenzi. Kuhusu kijana chini ya miaka 20 kuoa au kuolewa lazima wakati ufike akague mabucha na ndoa za hivyo ni lazima ivunjikeKhaa mmetulizana kwani mmeacha kufunction au?
Inaishiaje kwako sasa!! Inabidi auntie zangu warithi bwana.
Nope!! In life there is second chance!!even our Almighty does..Ni sawa hawa wazazi wanafunzi wasirudi shule?
Ungekuwa wewe umepata ujauzito ukiwa shule ungefanya nn
DJ sepetu
Kuna binamu yangu yeye moyo wake huwa anabeba kwenye kikapu, akifika mahali anaubwaga, akitendwa anaunyanyua anaenda kuubwaga kwingine, yaani yeye huwa anapenda kweli kweli. Tatizo ni anakopenda masikini!!! Na huwa hajifunzi, yeye akipenda kapenda!ila nahakika amejifunza kitu geniveros !sidhan km atarudia makosa aliyofanya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nahisi Mimi huyoooKuna binamu yangu yeye moyo wake huwa anabeba kwenye kikapu, akifika mahali anaubwaga, akitendwa anaunyanyua anaenda kuubwaga kwingine, yaani yeye huwa anapenda kweli kweli. Tatizo ni anakopenda masikini!!! Na huwa hajifunzi, yeye akipenda kapenda!
Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?haaaaaaaaaaaaaa ! itaisha tu hata kwa maombi ! aisee upuuzi mtupu na ubatili juu na chini yake
Umewahi kucheat Na unadhani unaweza cheat kwa ajili ya kupata pesa cheo au dili!?Nope!! In life there is second chance!!even our Almighty does..
Kwa nini sisi binadamu tunakua wabinafsi mnoo!
Pata mimba Lea rudi shule!!ule mziki wa lebaa harudii tena atasoma tu!
Ingekua Mimi daah!sijui what I would do!!nahis ntakudanganya jibu hapa kwa kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuYaani alikufa akaoza haswaaa!!
Umenikumbusha mtihani nilionao sasa!! Yaani sitaki hata kufikiria, kikibumburuka nafwaaaaa!!Nope!! In life there is second chance!!even our Almighty does..
Kwa nini sisi binadamu tunakua wabinafsi mnoo!
Pata mimba Lea rudi shule!!ule mziki wa lebaa harudii tena atasoma tu!
Ingekua Mimi daah!sijui what I would do!!nahis ntakudanganya jibu hapa kwa kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?
Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?
Hahahaaaa!! Kupenda sio tatizo, tatizo ni umempenda nani?