Nimependa jibu lako mamyDon't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani
Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa unataka ukumbukwe kwa lipi dunianiDon't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani
Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Furaha sana when my mom was aliveKtk maisha yako ni nyakati zipi ulikuwa Na furaha sana
Tukio gani limewahi kukutia aibu mbele ya watu
DJ sepetu
Pole binamu daahFuraha sana when my mom was alive
Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana. Sasa uliambiwa mume wako yuko mahali fulani na mtu ukafunga safari au ilitokea tu bahati nzuri ukamkuta na mtu?Furaha sana when my mom was alive
Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante generous kwa ushirikiano sasa unaweza jibu maswali yao membersFuraha sana when my mom was alive
Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto yangu natamani kuwaona wanangu wakifanikiwaPoa unataka ukumbukwe kwa lipi duniani
Jambo gani kubwa ulilofanikisha hadi sasa
Ndoto yako kuu ni nini
DJ sepetu
Thank u sanaAsante generous kwa ushirikiano sasa unaweza jibu maswali yao members
DJ sepetu
Nilimkuta live ndani kwangu tit for tatDuh pole sana. Sasa uliambiwa mume wako yuko mahali fulani na mtu ukafunga safari au ilitokea tu bahati nzuri ukamkuta na mtu?
InshallahNdoto yangu natamani kuwaona wanangu wakifanikiwa
Nikumbukwe kwa malezi mema ya mabinti zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
For better for worse.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sitajibu am sorry looh!
Mwanaume bora ni yule anejua maana ya kupenda,kupendwa,kukuheshimu na kujitambua;always there for his spouse!for better for worse!!
Kubwa awe na hofu ya Mungu ndo kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani
Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu
Sent using Jamii Forums mobile app
OMG...pole sana dada. Nakupongeza kwa kuamua enough is enough. Mtu huwezi kuishi kwa mateso kisa ndoa. Kuna mambo hayavumiliki.
Furaha sana when my mom was alive
Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema alimfumania ndani kwao Unaweza usiplan kufumania ila kufumania kukakutafuta tu kwenyeweee. Naona kuchepuka kwa heshima kulimshinda.Hahahha 30yrs una low bp kisa ulifumania ? binafsi huwa naamini mwanamke anaeenda kufumania ana SHIDA SEHEM! am sorry to say ths! yaan ni kutojiamini !binafs sitafanya kitu km hiki ! pole sana mamy! endelea kujitambua na kujithamini kila kitu kitakuwa controlled na ubongo wako!
Ndio maana nakupendaga dadanguNsamehe kama nimeshawahi kukukosea popote pale
Am sorry sorry bro!!
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app