Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Don't give a damn abt those minor things[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haviwezi nifanya nishindwe kumpenda mtu asilani

Mwanamke anaeangalia bamia au mhogo nafkiri hayuko vzr upstairs!!! Mapenzi ni zaidi ya hayoo mavitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa unataka ukumbukwe kwa lipi duniani
Jambo gani kubwa ulilofanikisha hadi sasa
Ndoto yako kuu ni nini

DJ sepetu
 
Ktk maisha yako ni nyakati zipi ulikuwa Na furaha sana
Tukio gani limewahi kukutia aibu mbele ya watu

DJ sepetu
Furaha sana when my mom was alive

Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Furaha sana when my mom was alive

Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole sana. Sasa uliambiwa mume wako yuko mahali fulani na mtu ukafunga safari au ilitokea tu bahati nzuri ukamkuta na mtu?
 
Furaha sana when my mom was alive

Kufumania aiseeeehh!kunauma don't even dream abt that!!! Tena basi mwanamke mwenyewe awe classic ila wa hovyooo!nlipata presha mpk Leo nna low BP

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahha 30yrs una low bp kisa ulifumania ? binafsi huwa naamini mwanamke anaeenda kufumania ana SHIDA SEHEM! am sorry to say ths! yaan ni kutojiamini !binafs sitafanya kitu km hiki ! pole sana mamy! endelea kujitambua na kujithamini kila kitu kitakuwa controlled na ubongo wako!
 
Amesema alimfumania ndani kwao Unaweza usiplan kufumania ila kufumania kukakutafuta tu kwenyeweee. Naona kuchepuka kwa heshima kulimshinda.
 
Back
Top Bottom