Yes mkuu, napumzika usiku niingie Asian marketOhoo! Leo bears Na bulls wako weekend[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
[emoji113] [emoji113]Nimekusoma mwanzo mwisho geniveros umejibu vizuri sana. Una kila sababu ya kuheshimiwa na wengi humu. Bandiko lako #86 lilifanya nitabasamu. Unajitambua na kila la heri kwenye maandalizi ya kuingia chuo kipya. Nasubiri mualiko wa kuja kula ubwabwa na kucheza rumba.
Binafsi ninamkubali sana, kwani ninamfahamu vilivyo ni dada wa maana sana na anastahili heshimaNimekusoma mwanzo mwisho geniveros umejibu vizuri sana. Una kila sababu ya kuheshimiwa na wengi humu. Bandiko lako #86 lilifanya nitabasamu. Unajitambua na kila la heri kwenye maandalizi ya kuingia chuo kipya. Nasubiri mualiko wa kuja kula ubwabwa na kucheza rumba.
Binafsi ninamkubali sana, kwani ninamfahamu vilivyo ni dada wa maana sana na anastahili heshima
Without mentor utakuwa kwa shida sanaBado nakomaa Na vitabu sitaki Ku loose ovyo nipo demo
DJ sepetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja nichaji simu ntarudi kidogoBinafsi ninamkubali sana, kwani ninamfahamu vilivyo ni dada wa maana sana na anastahili heshima
Uje pande hizi
AMENMie namheshimu sana pia. Ni mmoja wa madada wanaojitambua humu. I hope huyu mume mtarajiwa atakuwa tofauti na yule wa kwanza ili aweze kufurahia maisha ya ndoa.
[emoji6] [emoji6] [emoji6] geologist !!
Hapana sijafanikiwa!nakujibu kabisa,my ex hubby alitaka mwl ikabd nifanye Education kwa ajili yake even though we r no longer together I don't regret to become teacher maana naamini huu ni mpango wa Mungu so I can't change destiny
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mungu si mwanadamu, you still bagged yourself a fresh good man.....Ninao mwenyewe siwezi muachia mtoto wangu mwanaume
Hana mtoto hata mmoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] mama, Umekula umeme nn? manake...Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa. Na wanaume wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
Kula umeme ndo kufanyaje mwanangu? Haha[emoji28] [emoji28] mama, Umekula umeme nn? manake...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hujui kumbeKula umeme ndo kufanyaje mwanangu? Haha
Haha Mungu aniepushie mweeh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hujui kumbe
Mfano, kwenye mpira wa miguu mtu akipewa card nyekundu tunasem kala umeme (maneno ya mtaan)
Kwenye ndoa mtu akipewa talaka tunasema pia (Kala umeme)
Pale juu uliandika ujumbe wa hisia kali mno, nikajiuliza, na wewe umekula umeme nini
eeeh mama mchungaji, dooh.. [emoji13] [emoji13], aisee, shiiidaMmmh wewe si ndo unasema Unachepuka kwa heshima? Ukija kuachwa ndo uje utuletee vifungu "alichokiunganisha Mungu". Mungu alikwambia nyie wawili mtakuwa mwili mmoja au aliwaambia nyie wawili na wengine mtakaowaleta mtakuwa mwili na nusu? Huyu ameondoka tu physically, the day her husband slept with another woman ndo officially ndoa yao ilivunjika spiritually. Kinachowaunganisha mke na mume ni kukaa nyumba moja au? Lile agano lenu mbele ya Mungu na wanadamu ndo mlihehimu, kama utashindwa kuliheshimu then hakuna ndoa hapo, ni roommates tu mnaishi
[emoji5] [emoji5]Haha Mungu aniepushie mweeh