BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nimekusoma mwanzo mwisho geniveros umejibu vizuri sana. Una kila sababu ya kuheshimiwa na wengi humu. Bandiko lako #86 lilifanya nitabasamu. Unajitambua na kila la heri kwenye maandalizi ya kuingia chuo kipya. Nasubiri mualiko wa kuja kula ubwabwa na kucheza rumba.