Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Mmmh wewe si ndo unasema Unachepuka kwa heshima? Ukija kuachwa ndo uje utuletee vifungu "alichokiunganisha Mungu". Mungu alikwambia nyie wawili mtakuwa mwili mmoja au aliwaambia nyie wawili na wengine mtakaowaleta mtakuwa mwili na nusu? Huyu ameondoka tu physically, the day her husband slept with another woman ndo officially ndoa yao ilivunjika spiritually. Kinachowaunganisha mke na mume ni kukaa nyumba moja au? Lile agano lenu mbele ya Mungu na wanadamu ndo mlihehimu, kama utashindwa kuliheshimu then hakuna ndoa hapo, ni roommates tu mnaishi
Na kwenye kiapo tunaapa kua waaminifu!!sasa failure to do so ni tatizo
Hakuna dini imetetea uzinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom