Geniveros interview on muosha rungu live show!

Kweli Mungu si mwanadamu, you still bagged yourself a fresh good man.....
C.c espy
Huwez amin my dear and from very first time nlimuambia ukwel na amewakubal yaani kua na watoto sio kigezo cha kukataliwa mbona sis tunalea wa kwao tunaowakuta .
Mimi wanaoponda single mama nawaangaliaga tu haswa wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme kweli mimi si mpitaji au mpenzi wa haya majukwaa tofauti na Siasa, GT, int forums etc, but leo ktk list ya new posts ktk app yangu nikaiona hii thread... awali niliipita pita lkn Kuna kitu kikanisukuma niifungue na nikajitahidi isoma mpaka mwisho.
Kwakweli ulimwengu wa mapenzi na ndoa kwa karne hii ni mgumu sana! Yataka moyo na kujitoa. Changamoto za leo ni nyingi kwakua maisha yamebadilika sana!

Pia hongera sana kwakua focused na mama mzuri. Nami nikuulize ka swali ka utafiti, vipi ikitokea (Siombei hivyo) chance ya pili pia ikapotea utakua tayari kujaribu ya tatu?
Mungu akubariki Binti mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenijibia my cuzoo
Ahsante binamu namuomba sana Mungu wanaume wana ubaguzi sana kuoa mwenye watoto kwao wanaona dhambi ila wao sisi tunawavumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi haya maswali yanayoulizwaga kwenye interview haswa hayo ya personal kabisa huwa mnajibu ukweli kabisaaaaa!!!! Sipatii picha ambavyo ningedanganya, teh teh teeeeh!!
Cc Heaven Sent
Haha mengi ya ukweli tu, likiwa la ukakasi unaliskip tu. Au unakuwa na majibu chonganishi kama yale yangu teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…