Una watoto wangapiPrimary?!!!hapana advanced level my first was my first love!!that's whyyy....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachepuka kupitia kwenu.Kwa hiyo wanawake kuchepuka haitokani na vitu vingi? You will always justify nonsense....
Haya wasalimieTunachepuka kupitia kwenu.
Wanalegalize illegally things to become legally hao ndo wanaume binamuuAah so unamshauri na mkeo achepuke tu ila aheshimu ndoa? (Nimeconsider hiyo definition yenu mpya ya heshima)
Asante Heaven Sent!Haya wasalimie
House girl naye ni mwanamke kama wewe.Wanalegalize illegally things to become legally hao ndo wanaume binamuu
Katia mimba hadi housegal then anaomba msamaha...what a shame!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Two beautiful angels!Una watoto wangapi
Watoto wako wanajua unaolewa tena!
DJ sepetu
Mmmh wewe si ndo unasema Unachepuka kwa heshima? Ukija kuachwa ndo uje utuletee vifungu "alichokiunganisha Mungu". Mungu alikwambia nyie wawili mtakuwa mwili mmoja au aliwaambia nyie wawili na wengine mtakaowaleta mtakuwa mwili na nusu? Huyu ameondoka tu physically, the day her husband slept with another woman ndo officially ndoa yao ilivunjika spiritually. Kinachowaunganisha mke na mume ni kukaa nyumba moja au? Lile agano lenu mbele ya Mungu na wanadamu ndo mlihehimu, kama utashindwa kuliheshimu then hakuna ndoa hapo, ni roommates tu mnaishiGeni ! Kwa shida na raha. Alichokiunganisha Mungu nyie mmevunja ahadi.
Ungevumilia yangeisha. Hata huko uendako kuna karaha zake.
Wanalegalize illegally things to become legally hao ndo wanaume binamuu
Katia mimba hadi housegal then anaomba msamaha...what a shame!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umenichekesha pale eti definition yenu mpya ya heshima, khaaa!!Eeeh wewe zingua tu afu mama mito akuache uone jinsi uso utakavyokosa nuru na mashavu kuchuma kunde, dada zako wenyewe si unatujua
Ninao mwenyewe siwezi muachia mtoto wangu mwanaumeGeni! Umeacha watoto wangapi kwenye ndoa yako ya awali?
Mchumba wako mpya ana watoto?
Mchumba wako Wa sasa mlikutana vipiTwo beautiful angels!
Hapana sijawaambia bado mpk siku ikifika!
Nawaheshimu sana wanangu naogopa maswali yao aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ptuuuuuuuu. Hawa hawakawii kutembea hadi na mabinti zao, God forbidWanalegalize illegally things to become legally hao ndo wanaume binamuu
Katia mimba hadi housegal then anaomba msamaha...what a shame!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachepuka huku unaheshimu ndoa!!!!Usiwaweke kapu moja. Tupo na wake zetu miaka 30 sasa.
Hata tukichepuka tunaziheshimu ndoa.
G hizo ni lips zako?
Nimeshazinyonya sana bafuni..
Antie waenda wapi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh wewe zingua tu afu mama mito akuache uone jinsi uso utakavyokosa nuru na mashavu kuchuma kunde, dada zako wenyewe si unatujua
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Marahaba
Mfalme Daud, Ibrahim( Abraham)Unachepuka huku unaheshimu ndoa!!!!
Maajabu ya dunia huwa hayaniachi salama.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]