Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hawajui ya Mungu ndo maanaahhaa wanasemaga ukiachika utaend wapi? hahah huwa nadharau sana watu wa kuongea shit za namna hii !hongera zake
Maneno kama hayo ndo yanayotufanya wanawake tufe vihoro
Ukiachika jipange tu japo inauma Ila don't give up!
Sent using Jamii Forums mobile app