Geniveros interview on muosha rungu live show!

Hakua maskin alikua wa kawaida tu muajiriwa baadae akaingia in business ndo tukanyanyuka mpk naweza sema ni nyota au maelewano yetu na mchango wangu mkubwa kwake ndo maana tulifanikiwa sana
Baada ya kujitosheleza kwenye zile necessities zote za mwanadamu I think akaona ngoja ajaribu huko pembeni ndo hapo aliponogewa angeniheshimu sasa ila yeye alikua hana hata stara ndo kero zilipoanza hapo
Na alikua anahonga balaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngosha huyooo

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahha [HASHTAG]#ngosha[/HASHTAG] again
 
Bongo bahati mbaya mamaa[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Hahaa shikamoo ngoshaz
C.c MBITIYAZA

Binamu hakunaga cha mtu kuchepuka na kukuheshimu, hiyo heshima ndo ya aina gani? Na hata huyo ambaye leo amekuwa a serial unrepentant cheater na yeye alianza na hiyo "kuchepuka kwa heshima". Heshima ya mwenzi wako kwako ni pale ambapo haupo naye na still anakulindia heshima yako
 
Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa na wengine wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"

UMEMALIZA YOTE ! na kale kamsemo mwanamke mjinga' kananiudhiiiiiiiiii !
 
Hahaa shikamoo ngoshaz
C.c MBITIYAZA

Binamu hakunaga cha mtu kuchepuka na kukuheshimu, hiyo heshima ndo ya aina gani? Na hata huyo ambaye leo amekuwa a serial unrepentant cheater na yeye alianza na hiyo "kuchepuka kwa heshima". Heshima ya mwenzi wako kwako ni pale ambapo haupo naye na still anakulindia heshima yako

hahaah majangaz! Heaven Sent atleast asikuoneshee mamy !tutakuwa tunajidanganya sana km tunahis kuna wanaume wanaotulindia heshima kwa kizaz hiki cha mapunguwan! hapana nioneshe heshima TU!
 
[emoji1] [emoji1] daahh!kampani na wavulana aiseeh!
Mimi ni mtundu sana,mcheshi na muongeaji haswaa!

Napenda sana urafiki na watoto wa kiume kwa sababu hawanaga majungu walio wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hukutafsiriwa tofauti kwa kujichanganya Na watoto Wa kiume zaidi kuliko ke
Je hadi sasa bado unajichanganya Na wanaume zaidi kuliko wanawake!?

DJ sepetu
 
hahaah majangaz! Heaven Sent atleast asikuoneshee mamy !tutakuwa tunajidanganya sana km tunahis kuna wanaume wanaotulindia heshima kwa kizaz hiki cha mapunguwan! hapana nioneshe heshima TU!
Ndo heshima ya aina gani kwa mfano? Na unahisi hiyo heshima itakuwepo for the rest of his cheating life? Itafika tu stage asipokuonesha live basi utaiona utakapoanza umwa magonjwa yasiyotibika au siku utakapoletewa watoto wa nje. Afanye sirini au afanye wazi, you will suffer the consequences of his infidelity. As long as umeshabariki kuchepuka kwake basi kubaliana tu na package yote utakayoletewa na jitahidi uanzage dawa za presha in advance.
 
Ndo heshima ya aina gani kwa mfano? Na unahisi hiyo heshima itakuwepo for the rest of his cheating life? Itafika tu stage asipokuonesha live basi utaiona utakapoanza umwa magonjwa yasiyotibika au siku utakapoletewa watoto wa nje. Afanye sirini au afanye wazi, you will suffer the consequences of his infidelity. As long as umeshabariki kuchepuka kwake basi jitahidi uanzage dawa za presha in advance.

hahaha haya !nakuelewa mnoo !
 
Aisee hukutafsiriwa tofauti kwa kujichanganya Na watoto Wa kiume zaidi kuliko ke
Je hadi sasa bado unajichanganya Na wanaume zaidi kuliko wanawake!?

DJ sepetu
Hapana hawakunitafsiri vibaya zaidi nilikua sipendi kutongozwa ndo maana unajua mwanaume ukimfanya rafiki hakutongozi[emoji1] [emoji1] hii nnayo mpk Leo sehemu yangu ya kazi nawafanya wakaka zaidi km marafiki zangu nalinda ukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hawakunitafsiri vibaya zaidi nilikua sipendi kutongozwa ndo maana unajua mwanaume ukimfanya rafiki hakutongozi[emoji1] [emoji1] hii nnayo mpk Leo sehemu yangu ya kazi nawafanya wakaka zaidi km marafiki zangu nalinda ukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa kumbe!
Ukiwa shule ulikuwa Na ndoto ya kufanya kazi gani
Je umefanikiwa

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom