Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Interview hii haina lolote ndo maana wanachangia

brain is the beautiful part of the body.

mkuu signature yako imebeba ujumbe mzito sana !mbn za nyuma ulikua husemi haya !leo hii ndo unaiona haina kitu ! binafsi mie geniveros sikua namjua undan wake kwanza nilijua hana mtoto au hajaolewa kbs !hebu acha bas !

'brain is the beautifu part of the body'
 
Hehe just a joke mkuu. Dont panic

brain is the beautiful part of the body.
 
ahhaa wanasemaga ukiachika utaend wapi? hahah huwa nadharau sana watu wa kuongea shit za namna hii !hongera zake
Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa. Na wanaume wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
 
Kwani ulimkuta maskini nyota yako ikamtajirisha!
Labda ulifanya uchunguzi pengine alipata hawara!

DJ sepetu
Hakua maskin alikua wa kawaida tu muajiriwa baadae akaingia in business ndo tukanyanyuka mpk naweza sema ni nyota au maelewano yetu na mchango wangu mkubwa kwake ndo maana tulifanikiwa sana
Baada ya kujitosheleza kwenye zile necessities zote za mwanadamu I think akaona ngoja ajaribu huko pembeni ndo hapo aliponogewa angeniheshimu sasa ila yeye alikua hana hata stara ndo kero zilipoanza hapo
Na alikua anahonga balaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngosha huyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom