MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Hakua maskin alikua wa kawaida tu muajiriwa baadae akaingia in business ndo tukanyanyuka mpk naweza sema ni nyota au maelewano yetu na mchango wangu mkubwa kwake ndo maana tulifanikiwa sana
Baada ya kujitosheleza kwenye zile necessities zote za mwanadamu I think akaona ngoja ajaribu huko pembeni ndo hapo aliponogewa angeniheshimu sasa ila yeye alikua hana hata stara ndo kero zilipoanza hapo
Na alikua anahonga balaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngosha huyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahha [HASHTAG]#ngosha[/HASHTAG] again