Geniveros interview on muosha rungu live show!

Geniveros interview on muosha rungu live show!

Weee na binamu ana moyo wa kupondeka huyo. Kwa kweli Mungu amjalie furaha teleeeeee. Kuna watu wanautumia msemo huo as excuse ya kuendelea kuwa abused hadi wafwariki wawaache watoto wao wanateseka + wakiwa na wengine wanatumia huo msemo kuabuse wake zao wakiamini hawawezi kuondoka au hawatopata watu wa kuwapenda kwa dhati tena na hivi wameshazaa. Kumbe kuna mwingine huko anajiuliza "ulikuwa wapi miaka yote hiyo"
Fact ur happiness begin with u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajui ya Mungu ndo maana
Maneno kama hayo ndo yanayotufanya wanawake tufe vihoro
Ukiachika jipange tu japo inauma Ila don't give up!

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa maisha hayo ya kuniambia kweupe sikutak sidhan km moyo utakuuma ! ulijitambua mapemaaa!
mie sitakufa kihoro !llabda nife kwa mengineyo!\
hapana bado ni wa thamani sana ! kila la heri kwenye ndoa mpya
 
Nikiunga dots naona ulijitoa zaidi ya uwezo ili tu ndoa iende,hongera
Mumeo alikuwa Na nn special labda

DJ sepetu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank uu
Mwanzo was good person kwa kweli anajua kulia na kucheka na pamoja
Na ndoa ni sacrifice huge sacrifice am telling u don't let go so easily
Hakuna anaependa divorce but unforeseen events kama hizo halafu mbaya na hujui zitaisha lini zikizidi bora uache ujitoe

Sorry ulianza mahusiano ukiwa Na miaka mingapi primary au seko?

DJ sepetu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] thank uu
Mwanzo was good person kwa kweli anajua kulia na kucheka na pamoja
Na ndoa ni sacrifice huge sacrifice am telling u don't let go so easily
Hakuna anaependa divorce but unforeseen events kama hizo halafu mbaya na hujui zitaisha lini zikizidi bora uache ujitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Geni ! Kwa shida na raha. Alichokiunganisha Mungu nyie mmevunja ahadi.
Ungevumilia yangeisha. Hata huko uendako kuna karaha zake.
 
Back
Top Bottom