Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo gani ukilikumbuka unafurahi la utotoniOkay nimezaliwa miaka 30 iliyopita Mhimbili DSM nimeishi Dar nimekulia Dar,Shinyanga kidogo,Dodoma na Simiyu(Maswa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutembea na baba kila sehemu!Jambo gani ukilikumbuka unafurahi la utotoni
Lipi hukuhuzunisha
DJ sepetu
NtawajibuUmeolewa?
G hizo ni lips zako?
Nimeshazinyonya sana bafuni..
Pole sana,Kutembea na baba kila sehemu!
Nilikua napenda sana aiseeh
Siku moja mwananyamala marafiki zangu kipindi Niko std 6 chupuchupu wanivutishe bangi na niliingia mkenge but thanks to almighty my dad called ghafla ilikua ndo pona yangu that day wale wenzangu wote walikuja kua mateja [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajishughulisha na nini sasa hivi....Okay nimezaliwa miaka 30 iliyopita Mhimbili DSM nimeishi Dar nimekulia Dar,Shinyanga kidogo,Dodoma na Simiyu(Maswa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mkali sana ameniathiri nisiwe najiamini ktk vitu vingiPole sana,
Wazazi malezi yao yameathiri kwa namna yoyote namna ulivyo ukubwani?
Kivipi labda
DJ sepetu