GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Shogaa angu uko winja winja mnoo, hebu tujie kwa password bas, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]password tena wanaume wa jf nimewakanda wamejia moto wananuya mie
 
Karibu mgeni!Kuna Mwana jamvi kasema umeingia Kwa kishindo Cha wakoma,hakika mi nasikia kishindo Cha mabomu ya Israel pale Gaza
Hamna mbona kawaida jamani.

Shida ninu mpenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…