Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha,huwa na hofu sana na akili za watanzaniaHao walio tajwa mmoja wapo hio Ni ID yake nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha,huwa na hofu sana na akili za watanzaniaHao walio tajwa mmoja wapo hio Ni ID yake nyingine
Halafu mbona Jemima Mrembo aliwahi kuandika hayo mambo ya mvuto wa Mshana na Genta ndio umebadili Id ama?Mammy nini tena?
Haaaaah.Halafu mbona Jemima Mrembo aliwahi kuandika hayo mambo ya mvuto wa Mshana na Genta ndio umebadili Id ama?
Hujaleta mrejesho lakini ya watongozaji!how are they?Mkojoze mkeo
Kampeni zimeanzaWanajf
Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga jf leo...
Sio mgeni huyuUmekuja na kishindo cha wakoma aseeh[emoji23][emoji23] uko motrooooo[emoji1316]
Kesho hautanisikia tena kazi zitanibana.Umekuja na kishindo cha wakoma aseeh[emoji23][emoji23] uko motrooooo[emoji1316]
Shogaa angu uko winja winja mnoo, hebu tujie kwa password bas, khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]leo Niko off halfu ndo nimejiunga leo jf Shoga angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona leo umeamua bi mzurii[emoji23]
Mie mgeni Mara nyingi nasomaga tu leo nimeamua nifungue I'dSio mgeni huyu
Katafute Malaya Riverside nikupe nauliSina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]password tena wanaume wa jf nimewakanda wamejia moto wananuya mieShogaa angu uko winja winja mnoo, hebu tujie kwa password bas, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mgeni!Kuna Mwana jamvi kasema umeingia Kwa kishindo Cha wakoma,hakika mi nasikia kishindo Cha mabomu ya Israel pale GazaMie mgeni Mara nyingi nasomaga tu leo nimeamua nifungue I'd
Hamna mbona kawaida jamani.Karibu mgeni!Kuna Mwana jamvi kasema umeingia Kwa kishindo Cha wakoma,hakika mi nasikia kishindo Cha mabomu ya Israel pale Gaza