GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Asante kwa Credits zako japo najua na nina uhakika ( kutokana ) na Uzoefu wangu mkubwa hapa JamiiForums kuwa huu Uzi umeuanzisha kwa Mkakati Ovu dhidi yangu..
Gentamycine .

Mimi ni memba mpya humu ndani na nimekuwa muda mrefu kama msomaji na wala sio mchangiaji.

Mara nyingi nimekuwa nikivutia na uchangiaji wako wa maoni na uanzishaji wako wa thread.

Mdada wa tu Binti mzuri nimepoteza nguvu zangu kukusifia.

Aisee wewe mwanaume hauna thamani.

Upewe nini uridhike
 
Kumbe kumpa mtu credits dhambi ni samehe sikujua hilo jamani.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Wanajf mnaacha mdada mzuri sana naumbuliwa kwa kumpa credits Genta leo naonekana mbaya kweli...


[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Alooooooooooo weeeeee
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Vijana wa Dar imekuaje nowadays mnaona ni normal tu kujifanya wa kike? Na kimasihara sihara hivi hivi mnapitiwaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…