GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Asante kwa Credits zako japo najua na nina uhakika ( kutokana ) na Uzoefu wangu mkubwa hapa JamiiForums kuwa huu Uzi umeuanzisha kwa Mkakati Ovu dhidi yangu..
Gentamycine .

Mimi ni memba mpya humu ndani na nimekuwa muda mrefu kama msomaji na wala sio mchangiaji.

Mara nyingi nimekuwa nikivutia na uchangiaji wako wa maoni na uanzishaji wako wa thread.

Mdada wa tu Binti mzuri nimepoteza nguvu zangu kukusifia.

Aisee wewe mwanaume hauna thamani.

Upewe nini uridhike
 
Kumbe kumpa mtu credits dhambi ni samehe sikujua hilo jamani.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Wanajf mnaacha mdada mzuri sana naumbuliwa kwa kumpa credits Genta leo naonekana mbaya kweli...


[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Alooooooooooo weeeeee
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Wanajf

Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga jf leo .

Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE na MSHANA JR.

Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani.,sidhani kuna wakunipinga katika hilo

Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.

Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.

Nawapenda.

GENTAMYCINE

Mshana Jr
Vijana wa Dar imekuaje nowadays mnaona ni normal tu kujifanya wa kike? Na kimasihara sihara hivi hivi mnapitiwa🤔
 
Back
Top Bottom