GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Shogaa angu uko winja winja mnoo, hebu tujie kwa password bas, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Amechachuka balaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli idadi ya wanaume inazidi kuisha yaan km Mwanaume anafungua Uzi kuwasifia wanaume wenzake kua ni wazuri/warembo wana mvuto, ngoja nipite wima wima mamamzungu usije ukanishtua
 
A. Writing analysis
1. Naomba kutoa mchango wangu humu(Masculinity)=Me
2. Kwa mvuto humu ndani(masculinity)=Me
3. Mdada mzuri sana(masculinity)=me
B. Writing pattern
Northern Tanzania or the lake zone of Tanzania
 
Back
Top Bottom