GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

GENTA ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JF

Wanajf

Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga jf leo .

Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE na MSHANA JR.

Hawa ndio wanaume wanaongoza kwa mvuto humu ndani.,sidhani kuna wakunipinga katika hilo

Wanasifa nyingi sana zinazowafaa kupewa Tuzo hii.

Nimemaliza mie mdada Mzuri sana.

Nawapenda.

GENTAMYCINE

Mshana Jr
Daaaaaa !!!!! Kwa stayle hii Ushoga utaisha kweli ?
 
Uzi ulikuwa na page nyingi mno naona mods wamefuta baadhi ya post kuondosha matusi yaliyokuwepo.
 
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa saana

Depal my wangu hata usiseme kama hutakiwi kusumbuliwa 😀😀
🤣🤣

Good morning my wangu.. nilisahau kukwambia, ila kiukweli jua linawaka sana. Sitakiwi kusumbuliwa bhanaa
 
Back
Top Bottom