Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Umeshawahi kujiuliza kitatokea nini ikiwa hawa viumbe wa humu JF wakawa kwenye Thread moja yaani @Gentamycine,GuDume na Zero IQ alafu thread yenyewe iwe inahusu mambo ya mgegedo,
Unafikiri kitatokea nini kwa Mod na paw siku hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri kitatokea nini kwa Mod na paw siku hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app