Gentamycine kwa wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa muda mrefu sana huyu jamaa wa kuitwa GENTAMYCINE amekuwa akijinadi hapa JF kama a proudly Rwandese ( Rwandan ?) . Sioni tatizo lolote lile kwa mtu kujivunia asili yake tatizo ni authenticity . Je ni kweli wewe GENTAMYCINE ni mnyarwanda au ur just a fan ?

Kama wewe ni mnyarwanda kweli hebu tuambie nini maana ya maneno haya " UFITINGINGA BUTEGEREZI ".

Hakuna mnyarwanda asie jua maana ya maneno hayo niliyo yataja hapo juu. Najua huwezi kugoogle cause they are googleless.

Nakupa dakika 20. Ukifanikiwa kutoa maana ya maneno hayo ndani ya hizo dakika 20 basi kuanzia leo mimi pamoja maelfu ya wana Jf wenye mashaka na unyarwanda wako tutaanza kukupa heshima kama mnyarwanda.

Na usipo jibu basi wewe sio mnyarwanda na uache kutuzuga humu.

MURAKAZA NEZA GENTAMYCINE


UPDATES Dakika kumi zimepita tayari, bado dakika kumi..
 
By the way kwani huyo GENTAMYCINE ni mwanaume ? Mi siku zote najuaga ni jike. Duh JF is never boring. Nazidi kujifunza
@GENTAMYCINE ebu ukuje aiseeeee, maana naona uvumilivu umenishinda kwa maneno haya wallah.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…