Gentamycine naona kama vile 'Albadiri' ya 'Indian Ocean' imeshaniingia

Gentamycine naona kama vile 'Albadiri' ya 'Indian Ocean' imeshaniingia

Yaani.....

1. Nimepoteza kabisa Nuru

2. Natia Huruma niwapo na Watu

3. Sijiamini amini

4. Najishtukia

5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara

6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno

7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha na Kutubu

Mtani wangu Arovera pamoja na Genius wangu mrangi na Msela wa Kambini Lugalo King Kong III mpo lakini Wadau?
😄 tupo yetu macho tu

Ova
 
Back
Top Bottom