Yaani.....
1. Nimepoteza kabisa Nuru
2. Natia Huruma niwapo na Watu
3. Sijiamini amini
4. Najishtukia
5. Napatwa na hamu ya kwenda Kijijini mara kwa mara
6. Nikikumbuka tu nilichokifanya Moyo unaniuma mno
7. Moyo wangu unasema nijitokeze tu mbele za wana JamiiForums (Watu) kuomba Msamaha na Kutubu
Mtani wangu
Arovera pamoja na Genius wangu
mrangi na Msela wa Kambini Lugalo
King Kong III mpo lakini Wadau?