Umeniitia Erick?
@Konnie umemmiss nani wifi? Niambie nikuitie.
Hehehehe. . .kweli wewe ndio wifi. . .wengine wote wazushi.
Haya nambie nampata wapi wifi. . .saa hivi huku kwetu ni saa nne usiku
nimemmiss ananisaidia kuupeleka usiku.
Hata wifi niitie tu.
he he he, raha ya ndoa mume akukepnde na nduguze wakukubali lol
saa hivi huku kwetu ni saa nne usiku
nimemmiss ananisaidia kuupeleka usiku.
Hata wifi niitie tu.
Hehehe. . .hauruhusiwi kuniita bana. Ila unaruhusiwa kuniitia Gentleman wangu.
Hehehe. . .hauruhusiwi kuniita bana. Ila unaruhusiwa kuniitia Gentleman wangu.
ngoja mie nilale, naona kishakuja niliyekuwa namsubiri.