Gentleman. . .

Lizzy,i am giving you exactly 24 hrs kuanzia sasa uwe umefuta thread hii nzima,na usirudie!

Bishanga nifute kisa? Ntafuta tu ikowa 'gentleman' ataniomba na sio kuamuru.

Hulalagi wewe?Au ubaridi wa kitanda ndo tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga si ntamsaga kama karanga?

Malizana naye tu bora.

Bora wewe kuliko mimi. . . mngetoana kaunyonge. . lolz

Kipipi. . .hehehe nimekuona kakondoo. Siku hizi naona tunakwepata utadhani wote tunadaiana.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga nifute kisa? Ntafuta tu ikowa 'gentleman' ataniomba na sio kuamuru.

Hulalagi wewe?Au ubaridi wa kitanda ndo tatizo?
we Lizzy ,hivi ulivyofungua hii thread ulikuwa mzima au ulikunywa umechanganya konyagi na amarula.
Halafu kuna mtu kimbelembele kaipiga 'like' thread yako,namshangaa.
 
Last edited by a moderator:
we Lizzy ,hivi ulivyofungua hii thread ulikuwa mzima au ulikunywa umechanganya konyagi na amarula.
Halafu kuna mtu kimbelembele kaipiga 'like' thread yako,namshangaa.
Kwani we Bishanga kwanini unadhani nilikua nimechanganya gongo na mbege?

Alafu nani huyo kagonga LIKE. . mi sioni.
 
Last edited by a moderator:
Kwani we Bishanga kwanini unadhani nilikua nimechanganya gongo na mbege?

Alafu nani huyo kagonga LIKE. . mi sioni.

Unamjua sana,halafu umefuraaaaaahi kuona hiyo 'like',unankera sa ingine ujue.
 
Last edited by a moderator:
Throwback Friday.....

I wonder who that gentleman was😉.

Anyone wanna guess?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…