Gentleman. . .

Gentleman. . .

Tutangoja mpaka lini siku zinakimbia hivi RR? Take risk oooh, nakuachia Lizzy naomba sana uwe nae karibu,nina dharura na shemejie,nikimkatisha mziki atalia bora tu niende kimya kimya...i trust you will take a good care of her for my sake. Thank you in advance....mwambie kwa Hamisi nalipia chipsi mishkaki yake kabisaa. Laters!

Thanks for looking after me dearest. . . Nilijua tu shemeji shemeji hawezi susiwa nikajisogeza mapemaaa.
 

...maskini weee, namuonea huruma yule aliyejiita Lizzy's Gentleman na viposti vyake viwili vitatu vya leo..
harudi tena humu, keshajibebesha pakacha la vumba...lol!

Hahahaha. . . ndio nini kumtupia mwenzako madongo hivyo Mbu?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Morning Lizzy,

Sikwenda na nyie kudansi sababu I passed out, unataka nini for breakfast?
 
Morning Lizzy,

Sikwenda na nyie kudansi sababu I passed out, unataka nini for breakfast?

Hhhm. . . nataka chai ya rangi, usisahau kuweka tangawizi, iliki na mchai chai. Alafu kitafunwa bagia na vitumbua. . .

Good morning!!
 
SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?

Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.

@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.

@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.

@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.

@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.

@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.

@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.

@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.

@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.

So long. . . . .
Lizzy nipo upande wako bana.
Siwezi kuacha kukutetea wala nini
Pamoja sana wala usiwe na shaka.
 
Back
Top Bottom