Very trueChama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.
CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.
Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,
Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas.
View attachment 3515470
Sio muda mrefu tutawajua kwasasa ijulikane ni Gen Z tuuJe, hao waliotolea taarifa Lusaka ni akina nani?
Mambo yako underground sana na wako serious.GEN Z wamejipanga, vijana wanakutana Zambia huku mama yeye kajifungia Nkuhungu Dodoma huko
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ..ABDUL ABDULChama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.
CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.
Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,
Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.
View attachment 3515470
KUNA MFUMO WA KIGAIDI WA KIDINI UNAJENGEKA NDANI YA CCM KWA UFADHIRI WA WAARABU WAISLAMU.Hii ni kweli ccm imeuwa na kuteka watu wengi sana. Hakuna tofauti kati ya ccm na hizbolaa au Hamas au iss
Tena kubwa.Ukiangalia mbali mbele Kuna giza kubwa sana
Hamas sio magaidi,fanya utafiti mzuri kabla ya kuandika kituChama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.
CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.
Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,
Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.
View attachment 3515470
Kikundi cha Hamas kimejificha kwenye mgongo wa kuwapigania wapelestina lkn ukichunguza matendo yake ni ya kigaidi. Kinafadhili vikundi vya kigaidi kama CCM inavyofanya.Hamas sio magaidi,fanya utafiti mzuri kabla ya kuandika kitu