Geof Leah ni Bora ungeomba msamaha kwa viongozi wa Yanga na mashabiki kwa ujumla kutokana na kauli zako zisizo na mashiko

Utopolo kweli ni utopolo. Kwa hiyo pale Supersport hujawahi ona wachambuzi wakitoa utabiri?

Mtangazaji anamuuliza mchambuzi your prediction? Kuffor anajibu 3-1 to Madrid. Sasa nyinyi Utopolo ni nani msitabiriwe kufungwa na wachambuzi wakati ni kitu cha kawaida na wachambuzi wakubwa huwa wanafanya hivyo.
Sawa shehe yahya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ambacho mnashindwa kujua, saiv baadhi ya wanaojiita wachambuz wanitumia turufu ya kuiponda yanga ili kujitangaza zaid, mfano... Bin kazumari na Mzee wa Jambia.
Its true ni wachache sana waliokua wanakjua Wilson Oruma but kupitia kuiponda na kuwaandika vibaya wachezaji wa yanga, I think now jamaa anajulikana sana, na mambo mengine kama hayo
KWELI kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha mashabiki wa kuwa Yanga haliwezi kucheza fainali.

Geof Lea umegeuka kuwa mtabiri wa nyota Kama shehe Yahya ama Yule pweza wa Ujerumani.

Nimesikiliza uchambuzi wako nimegundua kabisa "You know nothing about football" Ila unachambua mpira kinafiki/kishabiki ili upate comments/likes kwenye social media.

Unajiita mchambuzi kabisa unasema Yanga itakufa magoli matatu! Wewe ni mchambuzi wa Aina gani na namna gani na unatumia factors zipi mpaka unasema kuwa Yanga itafungwa magoli matatu??

Usipoomba radhi kutokana na kauli yako/utabili wako/uchambuzi wako wa mchongo kesho kutwa utakula matapishi yako uliyoyatapika.

Mpira dakika 90 acha mpira uchezwe ndiyo uje kutapika maneno yako.
Ni maoni yake yy pia ni shabiki kama mashabiki wengine
 
Ye ni mchambuzi buana ana uhuru wa kusema chochote mtani,sioni kama kakosea,na mjue yule jamaa ana kiburi cha kipare ni mjeuri sana,na ana dharau na ujuaji sana hawezi kuomba radhi yule.
 
Inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha mashabiki wa kuwa Yanga haliwezi kucheza fainali.

Geof Lea umegeuka kuwa mtabiri wa nyota Kama shehe Yahya ama Yule pweza wa Ujerumani.

Nimesikiliza uchambuzi wako nimegundua kabisa "You know nothing about football" Ila unachambua mpira kinafiki/kishabiki ili upate comments/likes kwenye social media.

Unajiita mchambuzi kabisa unasema Yanga itakufa magoli matatu! Wewe ni mchambuzi wa Aina gani na namna gani na unatumia factors zipi mpaka unasema kuwa Yanga itafungwa magoli matatu??

Usipoomba radhi kutokana na kauli yako/utabili wako/uchambuzi wako wa mchongo kesho kutwa utakula matapishi yako uliyoyatapika.

Mpira dakika 90 acha mpira uchezwe ndiyo uje kutapika maneno yako.
Huyu jamaa ni pumba tupu kichwani ila katafuta umaarufutu tu ukweli anaujua
 
Back
Top Bottom