Geoff Lea alijuaje kuwa Nkane atasawazisha??

Sio kushangaa hiyo ndio hali halisi hiyo, mpira wa bongo hauna maana kidogo
 
Uyu jamaa siamini kama ni utabiri wake ila alikua akupewa taarifa na chanzo Cha kuminika.
Aisee kwaiyo credit apewe Nani yeye au chanzo Cha kuaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…