Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wa bongo una ushirikina mwingi na kuna watu wanajua matokeo na wafungaji kabla ya mechi...Hii tweet jamaa iliipost baada ya goal la 3 la Coast Union
Je ALIJUAJE au ni mwanakamati wa yanga?
Au ana mapepo?
Au ndo amekwiva Sana kwenye uchambuzi?
Njoo utuambie mwana JamiiView attachment 2279369
Mpira huu huu au ule wa soksi?Mpira unavitu vingi nje ya unavyo viona kuvisikia na kuambiwa.