Geoff Lea: Kamati za MO ni za kipigaji

Dewji Ni mtanzania..Na amewahi kuwa Mbunge wa singida kwa Miaka zaidi ya 10 na amewahi kuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka kadhaa..
Pia baba yake na babu yake Wamezaliwa Tanzania
Hilo nalijua mkuu na mwenyewe ni wa Singida na kaburi la babu yake limepakana na kaburi la shangazi yangu , hilo wala sibishi isipokuwa mo kwa sasa sio mtanzania ana uraia zaidi wa nchi tatu
 
Hilo nalijua mkuu na mwenyewe ni wa Singida na kaburi la babu yake limepakana na kaburi la shangazi yangu , hilo wala sibishi isipokuwa mo kwa sasa sio mtanzania ana uraia zaidi wa nchi tatu
πŸ˜…πŸ˜…
Tanzania hauruhusu Uraia pacha mkuu bado ni ajenda,
sasa yeye kaupata uraia wa nchi tatuπŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu dogo wakati mwengine namkubali.
 
Kwa wewe ndio huruhusiwi mkuu ila hata
πŸ˜…πŸ˜…
Tanzania hauruhusu Uraia pacha mkuu bado ni ajenda,
sasa yeye kaupata uraia wa nchi tatuπŸ˜…πŸ˜…
Anaeongoza jahazi ana unaraia pacha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hebu zungumzia li timu lako...naona mnapokezane na beshte wako Laban og kuandika nyuzi za Simba...
Mmekua wambeaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…