Geoff Lea: Kamati za MO ni za kipigaji

Geoff Lea: Kamati za MO ni za kipigaji

Vijana wa siku hizi wana matatizo makubwa sana kwenye uandishi na matamshi ya maneno. Nadhani shule za Kata zina mchango wake mkubwa tu katika hili.
Halafu wajuaji kupita maelezo...
Muone huyu...
Screenshot_20231031-162635_1.jpg
 
Dewji Ni mtanzania..Na amewahi kuwa Mbunge wa singida kwa Miaka zaidi ya 10 na amewahi kuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka kadhaa..
Pia baba yake na babu yake Wamezaliwa Tanzania
Hilo nalijua mkuu na mwenyewe ni wa Singida na kaburi la babu yake limepakana na kaburi la shangazi yangu , hilo wala sibishi isipokuwa mo kwa sasa sio mtanzania ana uraia zaidi wa nchi tatu
 
Hilo nalijua mkuu na mwenyewe ni wa Singida na kaburi la babu yake limepakana na kaburi la shangazi yangu , hilo wala sibishi isipokuwa mo kwa sasa sio mtanzania ana uraia zaidi wa nchi tatu
😅😅
Tanzania hauruhusu Uraia pacha mkuu bado ni ajenda,
sasa yeye kaupata uraia wa nchi tatu😅😅
 
Kwa wewe ndio huruhusiwi mkuu ila hata
😅😅
Tanzania hauruhusu Uraia pacha mkuu bado ni ajenda,
sasa yeye kaupata uraia wa nchi tatu😅😅
Anaeongoza jahazi ana unaraia pacha 😂😂😂😂
 
Hebu zungumzia li timu lako...naona mnapokezane na beshte wako Laban og kuandika nyuzi za Simba...
Mmekua wambeaaaa....
 
Back
Top Bottom