Geoff Lea: Kamati za MO ni za kipigaji

Geoff Lea: Kamati za MO ni za kipigaji

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji jana alitangaza kuteua wajumbe wa bodi ya Baraza la Ushauri la klabu hiyo.

Kufuatia uteuzi huo, mchambuzi wa soka Geoff Lea amehoji Wajumbe hao wanaenda kushauri kitu gani.

"Mimi bado nina wasiwasi, kwangu ninaweza kusema mpira wetu bado kuna vitu vinaendeshwa kizamani. Shida yangu ipo kwenye mambo mawili, jambo la kwanza hawa walioteuliwa wanaenda kushauri kwenye ngwe gani."

"Taarifa inasema wanaenda kushauri bodi lakini hiyo taarifa bado haieleweki wanaenda kufanya majukumu ya kushauri bodi kwa jambo gani na gani."

"Inawezekana hili limefanyika ili kuwaridhisha wale ambao labda walikuwa na kinyongo cha kutengwa. Watu karibu wote walioteuliwa kushika nafasi hizi walishawai kuwa ndani ya klabu, swali la kuuliza, kwanini wameletwa muda huu? kwanini hapo kabla hawakuwepo lakini wameletwa kipindi hiki?"

"Ingewekwa wazi huyu anaenda kutimiza majukumu ya kushauri bodi kwa nafasi hii na hii ingekuwa sawa lakini hii ya kuteuliwa tu kama washauri ni kama wamewekwa tu. Hilo ndilo jambo kubwa linalonipa mashaka."
- Amezungumza Geoff Lea kupitia EFM Radio.
 
M Radio.
Huyu mbwiga ameuliza swali na kujijibu mwenyewe kuwa nia ni kuleta ummoja. Ila hapo kwenye upigaji ndiyo haeleweki wanaenda kupiga nini.
 
HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
 
Wajumbe wanaoshauri ni wengi kuliko wajumbe wa kamati yenyewe, itakuwa wanauliza washauri nini kabla ya kushauri
 
HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Socer ❌
Soccer ✔️
Mbaka ❌
Mpaka ✔️
mkapa ❌
Mkapa ✔️
Klub ❌
Club/Klabu ✔️
aubin ❌
Aubin ✔️
phiri ❌
Phiri ✔️
Mala kwa mala ❌
Mara kwa mara ✔️
jangwanj ❌
Jangwani ✔️
kwasababu ❌
Kwa sababu...✔️
...mala 4 mfululizo ❌
...mara nne mfululizo ✔️

Watoto wa miaka ya 2000's mna changamoto kubwa sana kwenye uandishi na matamshi.
 
Usifananishe watoto wa 2000's na mtu mjinga ,huyo jamaa CAPO DELGADO huenda anazidiwa maarifa na hata mtoto wa darasa la sana .

Cheki chuma nyingine hii..
IMG_20231101_082940.jpg
 
HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Nikiona jitu zima linafanya makosa ya kiuandishi hua nachukia mno.

Yani jitu zima huwezi andika neno "mpaka" au neno mara kwa mara kila ukichangia unaandika mbaka badala ya mpaka au mala kwa mala badala ya mara kwa mara wewe ni zuzu unayejifanya kujua kumbe ziro kabisa.
 
Jof anahoja asikilizwe, uzuri wa kushauriwa sio lazima uchukue ushauri unaweza kuachana nao,

Toka amendoka Gonzalez Kiongozi na nidhamu ya timu imeshuka sana
 
Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji jana alitangaza kuteua wajumbe wa bodi ya Baraza la Ushauri la klabu hiyo.

Kufuatia uteuzi huo, mchambuzi wa soka Geoff Lea amehoji Wajumbe hao wanaenda kushauri kitu gani.

"Mimi bado nina wasiwasi, kwangu ninaweza kusema mpira wetu bado kuna vitu vinaendeshwa kizamani. Shida yangu ipo kwenye mambo mawili, jambo la kwanza hawa walioteuliwa wanaenda kushauri kwenye ngwe gani."

"Taarifa inasema wanaenda kushauri bodi lakini hiyo taarifa bado haieleweki wanaenda kufanya majukumu ya kushauri bodi kwa jambo gani na gani."

"Inawezekana hili limefanyika ili kuwaridhisha wale ambao labda walikuwa na kinyongo cha kutengwa. Watu karibu wote walioteuliwa kushika nafasi hizi walishawai kuwa ndani ya klabu, swali la kuuliza, kwanini wameletwa muda huu? kwanini hapo kabla hawakuwepo lakini wameletwa kipindi hiki?"

"Ingewekwa wazi huyu anaenda kutimiza majukumu ya kushauri bodi kwa nafasi hii na hii ingekuwa sawa lakini hii ya kuteuliwa tu kama washauri ni kama wamewekwa tu. Hilo ndilo jambo kubwa linalonipa mashaka."
- Amezungumza Geoff Lea kupitia EFM Radio.
Akitaka Ayajue hayo yoteawepo kweny kamati...

hiyo ni Job description ya Kamati iliyoteuliwa..
Na imefichwa makusudi kwa sababu inaonyesha kuna watu mnahujumu Team..

Mbona sijawahi kusikia mnahoji kamati za serikali zinaenda kufanya kazi vipi..
Au ulitaka nawe uwepo ?
 
Ukienda Muhindi yupo Tz na ana hela jua hayupo kiutanzania yupo kipigaji zaidi
Dewji Ni mtanzania..Na amewahi kuwa Mbunge wa singida kwa Miaka zaidi ya 10 na amewahi kuwa mwenyekiti wa CCM kwa miaka kadhaa..
Pia baba yake na babu yake Wamezaliwa Tanzania
 
Socer ❌
Soccer ✔️
Mbaka ❌
Mpaka ✔️
mkapa ❌
Mkapa ✔️
Klub ❌
Club/Klabu ✔️
aubin ❌
Aubin ✔️
phiri ❌
Phiri ✔️
Mala kwa mala ❌
Mara kwa mara ✔️
jangwanj ❌
Jangwani ✔️
kwasababu ❌
Kwa sababu...✔️
...mala 4 mfululizo ❌
...mara nne mfululizo ✔️

Watoto wa miaka ya 2000's mna changamoto kubwa sana kwenye uandishi na matamshi.
Halafu hili tatizo linakuwa sana kwa kasi Sijui shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom