Geoff Leah awakebehi wana simba redioni: Asema dawa ya moto ni moto

So what?
 
Kwahiyo Simba ni MACHOKO FC... Sawa sisi yetu masikio tu
 
Huyu jamaa yupo too personal anaumia na maisha ya mtu
Maisha? ulifikiria ni kwa kiasi gani huyo kanjanja kaharibu maisha ya Abdi banda kumsingizia kwamba kaongea yale maneno? mshikjai wako kaahidi moto kwa moto vita yake na simba sc well aendelee sababu hata financila support kuna watu watampa ila afikiri maisha ya watu kam akina abdi banda kwenye makala zake za huko mbeleni kuichafua simba
 
Kwahiyo Simba ni MACHOKO FC... Sawa sisi yetu masikio tu
Huyo kwenye makala zake alizotuma south africa si alisema serikali ya Tanzania inashirikiaana na simba ku forge covid tests na kuhonga marefa, haogopi mtu tunasubiri vita zaidi huko mbeleni dogo kajipanga kwelikweli haogopi kitu
 
Ni uhuru wake, unataka kumpangia Cha kuongea!?[emoji706]
Hakuna anayempangia boss , actually jukumu alilojipa limefanikiwa kiasi fulani, ila makala zijazo za kuichafua simba ampumzishe Abdi banda anamkosea Mungu kum quote mtu ambaye hajasema lolote am quote hata Okwi, Asante kwasi na ikiwezekana ataje majina ya hao wanasisasa wakubwa wanaoshirikina na simba kuhonga marefa, atakuwa kautendea haki mpira wa afrika, ila al in all anafanya kazi nzuri sana kitaifa
 
Uyo Jeff lea ni mgonjwa vile vidonge vinaleta marue rue plus mauza uza
 
Uneulizwa leta reliable source ya inayo onyesha yeye ndio kaandika hio makala una ruka ruka
 
Uneulizwa leta reliable source ya inayo onyesha yeye ndio kaandika hio makala una ruka ruka
Toa ujinga wako wewe ulivyoongea upupu wako na hao wazulu ushahidi unao? wewe ulishahaidi kuendeleza vita na simba go ahead usiishie njiani ila mpumzishe Abdi banda , m qoute hata Houmoud si alicheza Jomo cosmos au uhuru suleiman au unawaogopa?
Eti ushahidi, wewe ushahidi wa kuipoakaza kinyesi simba huko kwa wazulu unao hata mmoja?
 
Inatakiwa uwapambe timu kubwa, pilau biriani, kwamba hata Barcelona kwa Simba anakufa, those kind of rubbish ndio utaelewana nao.
We hujui chochote kuhusu Mpira.....
Ni mjuaji kama Huyu dada leah na ikiwezekana ni wewe mwenyewe.
 
Amewaambia mtafuteni mtaani kama nyinyi wanaume kweli, machoko tu.

Sasa muache kulialia hapa JF mwenzenu anawasubili kitaa na siyo keyboard warrior.😄😄
Angekuwa na akili timamu asingekuwa anajibizana na mashabiki kijinga vile yule dogo anashida upstairs
 
Hakuna vita kati ya mtu na taasisi sasa hao mashabiki tu anawafungia comments sasa huyo vita anayoiweza??
 
Angekuwa na akili timamu asingekuwa anajibizana na mashabiki kijinga vile yule dogo anashida upstairs
Hao mashabiki wenyewe wana akili gani? Ni vile tu English imewapita kushoto huwa nashangaa sana unakuta wanavamia page za fans wa team nyingine kupeleka upupu wao ila kingereza ndio kikwazo kikubwa kwao uishia kucomment tu This is Simba, ndio kingereza wanachokijuwa hawa mashabiki wetu uchwara.
 
Nitakuwa wa mwisho kutokuamini kuwa Mleta Uzi siyo ama Mmoja wa Watangazaji au Mchambuzi wa EFM Sports Headquarters.

Kuna mahala fulani hivi katika Maelezo yako umeshindwa Kujificha hasa uliposema kuwa Wenzake Studioni wanamchora tu, anajifanya ni Mtu wa Afrika Kusini na anajidai kuwa anajua mno Kiingereza.

Usichokijua tu ni kwamba huyu ( huyo ) Mchambuzi Geof Leah ni mwana Simba SC kindakindaki na Yeye ndiyo Mchambuzi wa Kwanza Tanzania nzima Kujiweka wazi ( Kujipambanua ) hivyo.

Kuhusu Maisha yake ni kwamba Geof Leah hatokei katika Familia Duni na ni Mtoto wa Kishua sana, akiishi Ushuani na ametembea, amesoma na kuishi nchi nyingi kutokana na Kazi ya Baba yake Mzazi hivyo kote huku kumemsaidia kumpa Exposure Kubwa ya mambo mengi ambayo kwa Waswahili baadhi msio na Upeo hili limekuwa ni Kero na Chukizo Kwenu.

Hoja yako kuwa anajifanya anajua sana Kiingereza imekaa Kipumbavu sana kwani hakuna aliyekuleta hata Wewe pia Kukijua vyema tena hata Kumzidi kama ukiamua Kujifunza na kila Siku Mwalimu Ras Simba anawatangazieni Redioni msiojua vyema Kiingereza akawafundisheni pamoja na wale wa British Council Posta.

Watanzania wengi mna Dhambi kubwa mno na iliyojaa Wivu na Chuki ndani yake hasa kwa Watu ambao huwa siyo Wanafiki kama huyo Mchambuzi Geof Leah, Wakweli na walio na Utajiri wa Knowledge na Exposure na sijui ni kwanini hambadiliki.

Hata hapa JamiiForums kuna Member Mmoja ( nimemsahau ila mnaomkumbuka mtamtaja kwani ni Maarufu sana ) na nasikia kapigwa BAN huwa ni Mtu mwenye Kuyajua mengi, huyasema mengi, hufafanua mengi, huchambua Masuala vyema na ana Maarifa mengi, Mjenga Hoja mzuri, Mchokoza Mada, ana Uwasilishaji wa Kipekee JamiiForums nzima ila cha Kushangaza badala ya Kumuelewa na hata ku appreciate tu Kipaji chake ( Talanta yake ) ndiyo amegeuka kuwa Chukizo kwa Wapumbavu wengi ( siyo Wote ) mpaka Wanamtukana, Wanamdhihaki na wanamtafutia BAN za Makusudi ili Kumzima na Kufifisha Umaarufu wake wakati kumbe ndiyo Kwanza anakuwa tu Kiumaarufu kiasi kwamba hata ID"s zingine hapa zinahusishwa / zinafananishwa nae.

Badilikeni.
 
Popoma last week ukanisabishia ban baada ya kukutukana naona umenitafuta tena kwa fake id uje kwa adabu sana mr bipolar
 
Nyie makolo acheni porojo mbn mnahukumu kwa kuangalia upande mmoja Yani mtu anisemee mbovu namm nikilipa muanze kusema sijitambui mbn mnapenda kusifiwa t mda wte mkiambiwa ukweli ambao hauwasifii mnaanza kuja juu mtu akiwajibu muanze kusema hajitambui,

Acheni upuuz huyo nae n binadamu anapokosewa ana njia yake ya kujitaftia faraja ikiwemo kuwajibu hao wanaomtukana msimpangie maisha kwakuwa maarufu et abaki kmy Kwan yey haumii sasa
 
Wapumbavu nyie badala ya kukazania atoeushahidi wa hizo dirty tricks na majin aya viongozi wa serikali wanaoshirikiana na simba kufanya mbinu chafu ikiwemo kununua marefa mnakazania uchafu uwekwe chini ya carpet ataje kila kitu hadharani huu ujinga uishe kabisa simba ifungiwe na hao viongozi wa serikali wawekwe jela
 
Jpili mwisho wa hizi hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…