Geoff Leah: Mohamed Hussein ni beki dhaifu kwenye safu ya ulinzi ya Simba

DOLA 100

Senior Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
174
Reaction score
271
Geoff Leah mchambuzi wa EFM na ETV anamsagia Tshabalala muda huu kwenye namba ten.

Anasema kwamba Zimbwe ni beki dhaifu katika ukuta wa mabeki wa Simba SC. Kuna ukweli wowote?

Amerejea mechi ya Simba na Yanga ambayo Zimbwe alipigwa tobo na Ki Azizi.

1693011719314.jpeg

1693011830856.jpeg
 
Kwamfano leo ukiwatoa Kapombe na Tshabalala utaiichapa Simba goli hata 5+ hawa ndo injini ya Simba miaka nenda rudi Tshabalala Zimbwe JR kaanza kuchezea Simba tangu nsajigwa ajastaafu,Ivon Mapunda,kina machupa n.k

Jofu anapima udhaifu kwa kupigwa chenga?Mbona hajasema Beki mwenye goli nyingi nchi hii ni Zimbwe/Tshanalala M15 ? Kuna chenga beki kama sergio Ramos alipigwa vyenga na Mtoto mmoja wa Celta vigo mpaka akamtafta baada ya game kumpa Maua yake sembuse Tshabalala ndo asipigwe chenga??

Bocco enzi izo na moto wake anaitwa Adebayor na Rasta zake alimpiga chenga beki mtukutu Juma Nyoso mpaka Nyoso akamchezea rafu mbaya sana akapigwa kadi na bocco alikaa nje nusu msimu
 
Kweli hoja zake hazina nguvu.
 
Nadhani ndio kwanza ligi imeanza watu walishaanza lawama tumjudge baada angalau mechi 5 au 6 za mwanzo wa ligi
Zimbwe jr Ni mkongwe kishafanya mengi Sana na bado anaendelea kukichafua.
 
Back
Top Bottom