Geoff Leah: Mohamed Hussein ni beki dhaifu kwenye safu ya ulinzi ya Simba

Geoff Leah: Mohamed Hussein ni beki dhaifu kwenye safu ya ulinzi ya Simba

Geoff Leah mchambuzi wa EFM na ETV anamsagia Tshabalala muda huu kwenye namba ten.

Anasema kwamba Zimbwe ni beki dhaifu katika ukuta wa mabeki wa Simba SC. Kuna ukweli wowote?

Amerejea mechi ya Simba na Yanga ambayo Zimbwe alipigwa tobo na Ki Azizi.
Mtazamo wake wewe je
 
Madhaifu ya Shabalala yameshajadiliwa Sana hapa, udhaifu mkubwa no kutokuwa na Kasi akikutana na mshambuliaji mwenye Kasi ni tatizo.
 
Ukweli usemwe Zimbwe kwasasa ni beki mbovu sana limebak jina tu.
Alaf timu nyingi zishajua huu udhaif yaan wanapitia kwake mara nyingi yaan Kawa uchochoro sana.
Ni anavuja balaa
 
Halafu hakijui, kama vp apige kitupu pindi lote tuone.
English medium jumlishia kuishi/kusoma Kenya utotoni halafu asijue Kiingereza vizuri. Mchambueni kwenye uchambuzi wake wa mpira huko kwenye Kiingereza yuko njema, mtaaibika
 
Chama
M15
Mama Esther
Bocco
Luis

Hawapaswi kuwa Simba
 
Tanganyika wengi ni wasimuliaji wa matukio hawana tofauti na mashabiki. Mchambuzi anapaswa kuwa na takwimu halisi za mchezo aliopaswa kuuchambua bahati mbaya hilo hawalijui na hawalizingatii.

Amri Kiemba & Ally Mayai kwa sasa ndio tunaweza kuwaita wachambuzi bora kwa sasa hapa Tanganyika.

Hawa kina Geof Leah, Abisai Steven, Farhan, Jemedari Said, na wengineo wengi hawana sifa za kuwa wachambuzi..
 
Geoff Leah mchambuzi wa EFM na ETV anamsagia Tshabalala muda huu kwenye namba ten.

Anasema kwamba Zimbwe ni beki dhaifu katika ukuta wa mabeki wa Simba SC. Kuna ukweli wowote?

Amerejea mechi ya Simba na Yanga ambayo Zimbwe alipigwa tobo na Ki Azizi.

ni kweli kabisa...leo kaonesha jinsi gani alivyo dhaifu kwa kupelekeshwa na kina Sillah na zidane
 
Back
Top Bottom