Geoffrey Lea rasmi EFm katoka Clouds Fm

Efm wako Dar tu hawawezi kushindana na clouds.

Wasafi hawana ubunifu nao wako Dar pekee.
 
Mkuu acha masihara basi, hawa wapiga mchiriku na singeli ndio wa kuiua Clouds??

By the way Jeff alishaondoka clouds kabla hajarejea hivi karibuni vipi clouds ilibomoka???
 
EFM ipo Mwanza, Kigoma, Tabora, Dodoma, Tanga, Dar, Zanzibar, Pwani, Moogoro, Iringa, Mbeya, Mtwara kwingine sipakumbuki.
.
uwe unauliza kabla ya kuropoka


Wasafi imekujaje kwenye hii taarifa au chuki zako zinakuwehusha?

Muacheni..ana stress za kuachwa
 
Efm wako Dar tu hawawezi kushindana na clouds.

Wasafi hawana ubunifu nao wako Dar pekee.
EFM wapo mikoa 7 na bado wanendelea kujitanua.Wasafi baada TCRA kulizika na uwezo wao mwaka huu wamepewa kibali kuanza kusambaa mikoa mingine.
 
Kwaiyo share holder mkuu wa wasafi ni mondi?
 
Wasafi kua pale sio investment ya kusaga..wasafi ni brand tu ndio iliyowasimamisha.....yani kweny brand kusaga hatingishi hata kiberiti...na ukiwa na brand hata uje na billions of money haufui dafu...Kwnini wagumu kumuappreciate Almasi?
Unaijua management structure ya wasafi?
 
Unaijua management structure ya wasafi?
Sasa management imetokea wapi Naongelea wasafi kama brand, management haina impact yoyote kwa wasafi kufika pale..ndiomana hata wakiboa,bado brand ipo pale pale...ukiongelea wasafi basi ushajua anaeibeba ni nani..nilie mquote kampraise Kusaga as if ndio mastermind wa wasafi
 

Mkuu,
Jibu swali uliloulizwa!

Kidemokrasia tu ulikuwa useme hivi : SIIJUI MKUU ili ueleweshwe.

Tuko hapa kujifunza chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…