BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Na kalikuwa kapole na sauti fulani dhaifu[emoji23][emoji23][emoji23].Nnachokiona ni kwamba watangazaji wa hapo clouds walikuwa hawaondoki kipindi ruge yupo sio kwamba walikuwa wameridhika bali walikuwa wanamuogopa ruge, na hata wale wachache waliokuwa wanathubutu kuondoka walikuwa kama wana ka uoga fulani hivi kama hawajiamini, yule baba cjui alikuwa na kitu gani jamani yani alikuwa anaogopewa kwenye hii industry si mchezo, yani sio wasanii, sio watangazaji yani hata kusaga mwenyewe alikuwa hathubutu kumbishia yule jamaa. Its like Sasahivi finally they are free
Wasiishie tu kujikita upande huo wawekeze nguvu zaidi kutufikia na huku mikoani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dozen nae anaweza kua fala wa kutupwaclouds wa lipeni vizuri wafanya kazi wenu.
B dozen inasemekana kanunuliwa gari na majizzo.
Nyie wafanya kazi wenu hata baiskeli hamjawanunulia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dozen nae anaweza kua fala wa kutupwa
Kesha jiona superstar tayari na alivyo na nyodo utadhani ana pesa basi.Huyu naye kashakua ma*aya WA media, alitoka clouds akaenda Azam hakukaa hata mwaka akarudi tena CMG,Leo kahamia Efm.
nzuri hii mkuu@JodokiKalimilo Kitu ambacho wanashindwa kuelewa Ni moja Diamond Ni founder wa Wasafi media na ndio CEO wa Wasafi maamuzi yote ya Wasafi wanafanywa na Diamond kusaga Ni sehemu tu ya wawekezaji lakini Hana mamlaka yoyote ndani ya Wasafi so why uwezi kumkuta board ya Wasafi utamkuta Diamond ndio anatoa maono ya company mfano mzuri kwenye kipindi Cha big Sunday live ndio alikuwa creative production hata ukiwasikiliza wafanyakazi wake Kama maulidi kitege alisema kabisa maamuzi yake ndio yanakuwa final.Ndio maana Diamond ndio anaonekana anafight Sana ku make sure Wasafi media inapiga hatua kubwa.
FRESHMAN
Jamaa anakula sana ganja yule dahKila la heri kwa mla kijiti mstaarabu
Yeah anakula vizuri kabisa,ila yupo vizuri sana kwenye analysis with facts and evidenceJamaa anakula sana ganja yule dah
Unamaanisha nn hapa...Sasa mke asinunuliwe gari afu iweje? Aaaah ndoa tamu bhana
Uwiiiiiii weeeehUnamaanisha nn hapa...
Yani selekta kaolewa na majizzo.. [emoji23]