The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Nina ndugu yangu amegraduate Bsc in geoinformatics,kama kuna kampuni au idara inamhtaji,itoe adress jamaa atume CV yake,ahsanten wanaJF!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante mkuu,hta hvyo me nimewaomba nyie wadau hzo pocbo siyo kampuni husika!Haya ebu jaribu kuapply hapahttps://www.jamiiforums.com/nafasi-...ical-database-manager-and-gis-specialist.html
uko right kaka,thanx in advance!Nilifundishwa kwamba kama unatafuta kazi usiseme watu wakutafute, Tafuta kampuni then uombe kazi, alafu huyo rafiki yako hana mdomo, Usitumie nafsi ya mtu kwa mtakwa yako, Change ndugu. Wewe ndo unatafuta kazi alafu unasema kampuni ikutafunte, Mind u Hakuna manager anaeweza kukupa anwani ili utume CV yako.Mtazamo, kama unaona uko sawa na mimi niko wrong nambie!