Geoinformatician/GIS expert

Geoinformatician/GIS expert

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
2,694
Reaction score
1,249
Nina ndugu yangu amegraduate Bsc in geoinformatics,kama kuna kampuni au idara inamhtaji,itoe adress jamaa atume CV yake,ahsanten wanaJF!
 
Nilifundishwa kwamba kama unatafuta kazi usiseme watu wakutafute, Tafuta kampuni then uombe kazi, alafu huyo rafiki yako hana mdomo, Usitumie nafsi ya mtu kwa mtakwa yako, Change ndugu. Wewe ndo unatafuta kazi alafu unasema kampuni ikutafunte, Mind u Hakuna manager anaeweza kukupa anwani ili utume CV yako.

Mtazamo, kama unaona uko sawa na mimi niko wrong nambie!
 
Nilifundishwa kwamba kama unatafuta kazi usiseme watu wakutafute, Tafuta kampuni then uombe kazi, alafu huyo rafiki yako hana mdomo, Usitumie nafsi ya mtu kwa mtakwa yako, Change ndugu. Wewe ndo unatafuta kazi alafu unasema kampuni ikutafunte, Mind u Hakuna manager anaeweza kukupa anwani ili utume CV yako.Mtazamo, kama unaona uko sawa na mimi niko wrong nambie!
uko right kaka,thanx in advance!
 
Back
Top Bottom