GEOINFORMATICS wale wa ARU

YATIMA WA TCU

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
5
jamaa tujadilini kwa undani hii geoinformatics katika nyanja zote kama furusa na soko la ajira pamija na vp tukomae tusije poteza nafasi zakuendelea na masomo yetu..wadau wengine mnao fahamu tusaidiane katika hili asanten sana
 
kwel we yatima wa TCU haiwezekan wakupangia chuo icho wakat kuna udsm mzumbe na ardh daaah pole sana yatima wa tcu
 
ww dogo #oil sumu ni mgeni wa dar nn? Hujui maana ya "aru" haahaahaahaa hiyo aru=ardhi university!! Unaona sasa umeuumbuka! By the way karibu UCLAS- SCHOOL OF CONSTRUCTION ECONOMICS AND MANAGEMENT(SCEM)! au hujui maana ya UCLAS! Overrr
 
haaa aaahaaaa mwana aru mwenzangu but me npo environmental eng ila pamoja sana mkuu see you there...
 
oil sum unatafta umarufu humu? ona sasa unavyoo aibaka udsm ndio itakupa ajira?wacha utoto ww ------- embukuwa kama kijana wakitanzania unayekabiliwa na changamoto nying na uztatue na uache utoto unaokusumbua
 
vip kuhusu na soko la ajiraa kwasababu hi nikozi mpyaa kwa monekano flan ilianzishwa mwaka 2010 kwa maana hyoo product yake hapo mtaani kabxaa je ajira ipo na nikiasi gan? naomba niseleweke vbaya napenda kujua kiundand ktu ninacho kwenda kukisoma
 
kwel we yatima wa TCU haiwezekan wakupangia chuo icho wakat kuna udsm mzumbe na ardh daaah pole sana yatima wa tcu

Wewe oil sumu nina mashaka na wewe sijui hata hyo MUCE umepataje inawezekana mgeni wa jiji aru ndo ardhi university au UCLAS jina lengine.
 
Geoinformatics ni course nzuri sana coz ajira zake ni ktk nyanja nyingi sana....yaani kama itafundishwa kwa uangalifu kulingana na course contents yake basi graduands wake ni zaidi ya engineers in IT and other areas
 
ww dogo #oil sumu ni mgeni wa dar nn? Hujui maana ya "aru" haahaahaahaa hiyo aru=ardhi university!! Unaona sasa umeuumbuka! By the way karibu UCLAS- SCHOOL OF CONSTRUCTION ECONOMICS AND MANAGEMENT(SCEM)! au hujui maana ya UCLAS! Overrr

Huyu dogo oil sumu mkitaka mmuweze ni kutochangia upuuzi anaopost u just have to ignore him trust me it helps kuna mtu humuhumu jf Kwenye jukwaa flani alikuwa na vijitabia kama vya oil sumu tulivoanza kumuignore aliiacha na ana tabia nzuri sana siku hizi
 
mkuu #mbwiga88 ngoja nimu-ignore.! Coz amezidi vitu havijui ana dandia dandiaa tuu! Overrr
 
onaona sasa hako ka oil sumu ndio kamekuwa topc tunacha kujadl mambo ya msng. tuendelea kupeana misaada yenye manufa kwetu na taifa kwa ujumla
 
ww dogo #oil sumu ni mgeni wa dar nn? Hujui maana ya "aru" haahaahaahaa hiyo aru=ardhi university!! Unaona sasa umeuumbuka! By the way karibu UCLAS- SCHOOL OF CONSTRUCTION ECONOMICS AND MANAGEMENT(SCEM)! au hujui maana ya UCLAS! Overrr

sema ardh sio aru pia cjajua kama kle chuo naona n taasisi
 
busura ilo nzur nikito bishana na huyoo mtoto acye jitambuaa. anafkir hi ni fb.mwelekezen aende njia inayo itwa fb na sio JF 4 GR THNKER. ARU ni aridhi unversty
 
kweli kaka huyu jamaa amekua kero sana humu,dawa yake inachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…