Geor Davie ni nani?

Unajua siku zote kazi za nabii ndio zinamtambulisha biblia yenyewe inatuongoza kwamba mwaminini mungu mthibitike waaminini manabii mfanikiwe .Hii inatuforce sisi mumwamini pia je utajiuliza kwamba nabii was kweli ni yupi ? biblia inatuambia kwamba nabii wa kweli ni yule anaetamka kitu kikawa Kama alivyo sema na pia awaongoze watu wamwabudu mungu wa kweli.Na vitu vyote hivi nabii Geordavi anavyo labda kunautata kuhusu mungu ambao watumishi wake wanamuabudu tukisali huwa tunasema mungu wa geodavi kwasababu hapo zamani watu walimwabudu wakisema mungu wa Ibrahim ,Isaya,na yakobu ila sasa tunamtambua Kama mungu wa geordavi
 
Niliwahi kusali pale kwenye hema lake nilisikiliza mafundisho yake kiukweli sifikirii kurudi....BIBLIA ni kama Msitu unaweza kupitipa njia flan ukatoka salama pia unaweza kupita njia ya hovyo ukatokomea
 
Ni mojawapo ya wafuasi wa shetani wanaofanya vizuri katika fani ya kupumbaza watu kwa kivuli cha unabii,...
 
Wagalatia mnaangamia kwa kukosa maarifa....

Huyu ni msanii flani na mpiga dili wa mjini anayetumia ujinga wa wagalatia kama mtaji.

Enyi wagalatia nani amewalogwa??????
 
Akili mu kichwa, kwa matendo yao mtawajua kama ni manabii wa kweli.
 
Akili mu kichwa, kwa matendo yao mtawajua kama ni manabii wa kweli.
 
sina shida yoyote na wachungaji hawa wa siku hizi, ila jambo ambalo nashindwa kulielewa hadi nawa doubt ni , kwanini wanakuwa na ulinzi mkali sana? pesa za huo ulizi ndio sadaka zilezile ambazo watu wanazitoa ili zieneze injili? na, kwanini sadaka zinazotolewa wanajifanya ni pesa zao na sio pesa za kanisa, wananunua magari makubwa ya garama, wanatumia pesa kwa maisha binafsi zaiku kuliko masha ya injili, halafu, hivi manabii waliopita kama Eliya, Musa, elisha, na wengine, na wahubiri wengine kama kina PAULO, PETRO, YAKOBO, YOHANA, na mitume wengine wale 12 wote, unaweza kuwafananisha na hawa wa siku hizi? mtu anakuja na convoy zaidi ya rais, na wanakaribisha san akiburi na majivuno/sifa binafsi kuliko hata kumpa sifa Mungu. tunawasikia kwenye tv kila siku, wanapokea sifa wao zaidi kuliko hata kumsifu Mungu...hivi huyu Mungu mwenye wifu anayependa kutetea utukufu wake ndio amewaruhusu wafanye hivyo?...sipendi kuona wana mlolongo wa magari kama rais obama, wakati wale wanaotoa sadaka hawana hata hela ya kula, halafu wanalazimisha sana sadaka ili watu watoe wao wawe matajiri.
 
Kila nabii alipokuja alikuja na kitabu chake.. ila hawa naona kama wamekuja na miujiza.....
 
ukifuatilia maisha ya hawa watumishi unaweza kufa ghafla sasa uliza life ya mwingira ndio utachoka kabisaaa
 
Kuna huyu mwingine naye yupo huko huko kisongo...anaitwa Joakimu Channel...inasemekana alikuwa muhudumu kwa huyo nabii...kuna mtu anaweza kumwelezea tafadhali...nataka kujua kwani kuna mama namkubali sana...ila naona kama anataka kupitiliza vile
 
Mkuu nilikuwa natamani sana kujua kiundani huyo Joakimu Channel...ebu nipe data zake mkuu
 
Wagalatia mnaangamia kwa kukosa maarifa....

Huyu ni msanii flani na mpiga dili wa mjini anayetumia ujinga wa wagalatia kama mtaji.

Enyi wagalatia nani amewalogwa??????

Mkuu ebu nipe data za huyu jamaa anayeitwa Joakimu Channel....nasikia alikuwa muhudumu kwa kanisa la huyu nabii...natamani kujua zaidi huyu Joakimu Channel
 
Mkuu ebu nipe data za huyu jamaa anayeitwa Joakimu Channel....nasikia alikuwa muhudumu kwa kanisa la huyu nabii...natamani kujua zaidi huyu Joakimu Channel
Channel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! Mengine
 
Channel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! Mengine
Ha ha haaaa aisee hilo kanisa au jela
 
Kila nabii alipokuja alikuja na kitabu chake.. ila hawa naona kama wamekuja na miujiza.....
Huyu Geor Davie yupo kwenye harakati ya kuanzisha kitabu (biblia) chake. Kuna siku alikuwa anakielezea kwenye radio yake. Ni balaa
 
Jamani muache magugu na ngano vikue pamoja,mwisho wa siku kitaeleweka afu kama ni mtumishi wa Mungu kweli huduma yake itaendeleaa tu kama sio itakufa tu,don't bother
 
Channel ni mkulima before alikuwa msaidizi wa Goerdavie ... Kanisani kwake kuna mabaunsa ukiingia kutoka ni hadi ibada iishe, ukikaa sana chooni unafatwa!!! Mengine

Mengine yapi mkuu ebu funguka kidogo...huyu jamaa mambo yake ni controversial kama ya his excellency honorable Dev...nataka sana kujua zaidi kuhusu huyu channel..
 
Kuna rafiki yangu alisemaga channel ni nabii wa uongo....habari zikamfikia channel akasema apewe namba yake ampigie anene maneno matatu tu jamaa afe....nilichoka kweli kweli kama mtumishi wa Mungu anaweza kusema eti aombe mtu afe...kwani Mungu ni muuaji??kweli tuna haja ya kuwa makini na hawa wanaojiita manabii..
 
Mengine yapi mkuu ebu funguka kidogo...huyu jamaa mambo yake ni controversial kama ya his excellency honorable Dev...nataka sana kujua zaidi kuhusu huyu channel..
Huyu jamaa no shida jumapili hii nenda utakuja kutuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…