Unajua siku zote kazi za nabii ndio zinamtambulisha biblia yenyewe inatuongoza kwamba mwaminini mungu mthibitike waaminini manabii mfanikiwe .Hii inatuforce sisi mumwamini pia je utajiuliza kwamba nabii was kweli ni yupi ? biblia inatuambia kwamba nabii wa kweli ni yule anaetamka kitu kikawa Kama alivyo sema na pia awaongoze watu wamwabudu mungu wa kweli.Na vitu vyote hivi nabii Geordavi anavyo labda kunautata kuhusu mungu ambao watumishi wake wanamuabudu tukisali huwa tunasema mungu wa geodavi kwasababu hapo zamani watu walimwabudu wakisema mungu wa Ibrahim ,Isaya,na yakobu ila sasa tunamtambua Kama mungu wa geordavi