Geor Davie ni nani?

Hahaha Mtumishi kwa kweli umenichekesha yani hutaki ''Upako Show'' Mwanza hahaha sababu haziiti huduma yeye anita Show kama Mazingaombwe vile Dah! Bila macho ya Rohni anakuingiza mkenge ukiwa unaona hivi-hivi.
 
Alialikwa kipindi fulani hivi na wenyeji wake maaskofu akaacha amewafundisha maisha ya kibalozi hadi gari zao zikawa zinapepea bendera ambayo sikuiona vizuri mwisho wa siku wakamstukia ile mbaya kuwa ni tapeli hawana hamu naye tena wala wakazi wake . Sijui nani atamualika tena.
 
Kweli waliingizwa mkenge na me nakuhakikishia hamna kitu pale zaidi ya utapeli na u argent wa kuzimu.
 
(Al islam dinul hak)

Uislam ndio.dini ya ukweli...hakuna hizi propaganda zakudanganyana

Wajinga ndio waliwao...Yani kuna maskini wa hela...ila hawa wenzetu wa mlengo wapili ni maskini wa akili....manabiii na mutume hahahahaha huyo bado kugeuka kibwetele...na mtakufa bila kelele
 
kama mungu anayemtumikia hawezi kumlinda hadi atumie fedha kujilinda huyo no mungu feki. nanyi mnaomfuata jiulizeni tena kama hamjaliwa.
 
Wakuu hivi ukuiwa mtumishi wa Mungu unatakiwa kua masikinii!????

kama ndivyo basi biblia haina maana kutuambia Mungu aliwabarik kina suleiman,Yusuph n.k
 
kama mungu anayemtumikia hawezi kumlinda hadi atumie fedha kujilinda huyo no mungu feki. nanyi mnaomfuata jiulizeni tena kama hamjaliwa.

ulipo wewe umeshaliwa mara ngapi???....angalia channel 10 leo saa 2 usiku halafu urudi hapa na akili zako za kupewa...

kama upo dar jumapili hii tar3 atakua hapo kawe viwanja vya tanganyika parkers..
 
ulipo wewe umeshaliwa mara ngapi???....angalia channel 10 leo saa 2 usiku halafu urudi hapa na akili zako za kupewa...

kama upo dar jumapili hii tar3 atakua hapo kawe viwanja vya tanganyika parkers..

hahahhaa, haya sasa waliwa kwa waliwa!
 
Wakuu hivi ukuiwa mtumishi wa Mungu unatakiwa kua masikinii!????

kama ndivyo basi biblia haina maana kutuambia Mungu aliwabarik kina suleiman,Yusuph n.k

We nawe ni msukule wake.....Mnalaana nyie
 
Wakuu nasikia kazindua ati jina la Mungu..."Yehova Shagy"...kwi kwi kwi....Ni vituko huko kisongo jamani......

Huyu mtu anakoelekea atawachoma moto hao waumini wake.......
 
Hivi ungekuwa wewe ndo uliwaumba binadamu si ungeshawachoma mishkaki? Huoni mambo yanayoendelea yanaweza kukutia kichaa?

hiyo ni lugha ya picha. Kujitia wazimu= kufanya biashara kichaa aka fanfa!
Kwahiyo saivi mungu ana wazimu?
 
Mtaendelea kumpelekea hivyo visent vyenu tu huku akitajitajirisha kwa ujinga wenu.Eti nabii,chunguza mkuu au sali huko huko kwenu utapewa tu hicho unachoomba. Matapeli wa dini na uganga wa kienyeji wamejaa kila kona uijuayo
 
Waumini wote hao wakitoa sadaka walau buku 10@ unadhani anapata sh ngapi? Na hana gharama za uendeshaji apart from luku tuuu! Hadi kanisa wanafagia waumini

waumini 100 x 10,000/-
waumini 200 x 5,000/-
waumini 200 x 2,000/-
waumini 200 x 1,000/-
Wanapata wapi hizi pesa za kumudu gharama hizi!!!?
 
Waumini wote hao wakitoa sadaka walau buku 10@ unadhani anapata sh ngapi? Na hana gharama za uendeshaji apart from luku tuuu! Hadi kanisa wanafagia waumini

waumini 100 x 10,000/-
waumini 200 x 5,000/-
waumini 200 x 2,000/-
waumini 200 x 1,000/-

Sasa wewe calculation wazijua si uanzishe na wewe lako...unampigia hesabu mwenzio tu why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…