Watumishi wa Mungu ktk biblia walilingwa kwa kumuhubiri Kristo Yesu( injili) na walitambulika kwa miujiza waliyokuwa wakifanya hadi ikafikia hatua ya watu kutaka kuwasujudia kama miungu ila walikataa na kujinyenyeza zaidi. Ila sio huyu baba yako anayelaumiwa kwa wizi, kufarakanisha ndoa, miujiza fake na ya kubahatisha, uzinzi na usanii mwingi. Kama ni Mtumishi wa Mungu aliye hai walinzi wa nini?. Je lipi kubwa alilofanya huyo nabii anayewatabiria wanawake wachumba ati Dada umelia sana mungu anakwenda kukupa mume wakati akijua kuwa nowadays we have relationship crisis lipi alilobalo la kumzidi mtu wa Mungu Moses Kulola ambaye hakuwahi kuwa hata na yelo kwake wa kumlinda( apumzike kwa amani).
Ninaimani hatakanyaga tena Mwanza kwa Jina la Yesu mfufuka namfungia hapo Arusha na hata toka hapo mpaka kazi yake itakapofikia mwisho . Nasema haya kwa mafuta halisi ya kinabii . Amen.