Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo mkuu startv daily wanamtangaza baada ya taarifa ya habri hiviHilo jina tu hatare billionare simfahamu ila nitamfuatilia
Mungu amembariki sana Hutu nabii no Tajiri wakutupwa .Anamiliki Chopa magari ya kifahari achilia mbali mahekalu pale Arusha .Wamadhabahuni wanakula Madhabahuni
Haha haha well said kijanaUkikuta mchungaji anahubiri pesa utajiri na magari ujue ni wale wale waliotabiriwa. Mtu wa Mungu kweli kweli atawaelekeza waumini wake juu ya ufalme wa mungu na sio ufalme wa duniani. Nabii hupimwa kwa kanuni au sheria kumi za mungu, na km amepungua ktk hilo hakuna asubuhi kwake, amesema Isaya.
Hili ni jibu Kamili.Ukikuta mchungaji anahubiri pesa utajiri na magari ujue ni wale wale waliotabiriwa. Mtu wa Mungu kweli kweli atawaelekeza waumini wake juu ya ufalme wa mungu na sio ufalme wa duniani. Nabii hupimwa kwa kanuni au sheria kumi za mungu, na km amepungua ktk hilo hakuna asubuhi kwake, amesema Isaya.
hawa watu, sijui inakuwaje watu wanaamini namna hiyo...
Ni rahisi sana kufika kama ukipata MTU wa kukufundisha kutembea. Au hata jirani wa kukununulia ka baiskeli ka mbao ( ka matairi matatu) , na ukawa unapendelea kunywa maziwa kwa wingi ili ngozi, nyama na mifupa yako iwe imara kwa ajili ya kula chakula cha uzima.Najaribu kuwaza kwa sauti....
Hivi huko mbinguni kutafikika kweli
Stars, Sun & Moonkweli usemalo ..mm mkristo na ninaona jinsi wakristo wenzangu wanavyokuwaga rahis kutapelewa hasa masuala ya imani
Chunguza waumini wake... hawaeleweki, na wamedata na biti za muzee wa mukoroguKaka waumini wake wakoje tena!?....hii kali basi huyu jamaa mtata sana
Hivi mkuu wewe ukiwa unatembea na wake za watu. Na unajua sio halali utakaa kizembe? Lazima ukae kww Akili wale ulio wadhulmu na kuwabia wake zao wasije kuku rudi.Mtu anahubiri huku analindwa na wanadamu (KK SECURITY) yesu ana kazi gani?? Si ndio jukumu lake hilo....je nan anaemdhulu mtumishi wa bwana......au ana mambo anafanya hajiamin.
Pili sadaka zinatupwa chini ilihal mungu alisema kinachotolea mkono wa kushoto......wajuzi watanisaidia...
Iweje ulazimishe kipaji..yan hata kile kipaji cha kuhubiri hana...huwa unasambazia watu romantic voice tu pale hakuna cha zaidi
ah mkuu wenyewe wanasemaga usimguse wala kumjadili masihi wa Bwana yani hata kumuhoji marufuku wanasahau kuwa tumeambiwa tuzijaribu hizo roho sa sina uhakika kama kuhoji pia imo katika kupata taarifa ili tupime au haipo. Wakali sana wakihojiwa mkuuhahaha asante sana je wewe huna cha kusema kuhusi hili!? unitoe hofu hii!?
Maji mengi nani kwakwambia ndio sahihi nionyeshe mstari.kama hutaforce kinghuwezi kumuona Mungu kwanjia hiyo ndugu,...
mimi simtetei geodavi,...
ila uwez kumuona Mungu,.kwa kujifungia ndani na kusoma bible,..
mkili Yesu awe bwana na mwokoz wa maisha yako,..
utende njia zake sikupaszo,...yaani usitende dhambi,..
then ubatizwe kwa maji mengi,..utakua upo ktk njia sahihi,..
then bible inasema msiache kukusanyika kma ilivyo desturi,...
yaan kwenda church na kuonyana kwa tenzi na zaburi,..
ili uishi ktk misingi ya Mungu,...