George Ambangile asaini rasmi wasafi fm

George Ambangile asaini rasmi wasafi fm

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
 
Weka picha

Aisee nipe ratiba ya vipindi vyao mkuu uyu mwamba binafsi namkubali sana
 
Hawa wote kipindi 1
Kuna vipindi viwili vya michezo Kuna moja ni sports arena na sport court ambavyo vinautofauti kidogo nafikiri Kati ya kimoja atakuwepo.
 
We jamaa thread zako nyingi ni za "DIAMOND, WASAFI, RAYVANY", na we unaonekana umesajiliwa na Diamond Platnum.

Unajitahidi kuwapa PROMO.
 
Siku hizi watu wanapenda sana mpira eeh au mimi ndio nimepunguza ushabiki wa mipira maana wachambuzi wamekuwa Deal sana aisee
 
Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
Wako tempo...
Wamchukue a baba jonì..awe kwenye taarab.
 
Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
Huyu jamaa ni underrated sana....anajua mno
 
Sasa kipindi cha ArENA kitakuwa na watangazi manguli wa5????
 
Back
Top Bottom