Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
Kuna vipindi viwili vya michezo Kuna moja ni sports arena na sport court ambavyo vinautofauti kidogo nafikiri Kati ya kimoja atakuwepo.Hawa wote kipindi 1
Wenzako wanawekeza we unaita upuuzi?Sasa huu ni upuuzi
nahic watu weng wameletwa kweny ushabiki maandazi sababu ya betting sio kama zamaniInaonakana sikuhizi vipindi vya michezo vinalipa sana, au kwasababu ya betting?
Wako tempo...Mchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kvp mkuu aisee tiririka.Sasa huu ni upuuzi
Huyu jamaa ni underrated sana....anajua mnoMchambuzi fundi wa soka ninayemkubali hapa Tanzania kwa uchambuzi wa kina wamichezo kutoka kituo Cha magic fm George ambangile rasmi amesajiliwa na wasafi media aka real Madrid wa bongo kwa kuchukua nyota wakali wa media tofautitofauti.Natoa pongezi za dhati kwa kijana mond bin laden kwa kuliona hili jembe.
Wewe ndo umjui ila kwa wafuatiliaji wa soka wa hapa bongo wanamjua vizuri Sana siku moja jaribu kumsikiliza ndo utajua kwanini watu wengi wanapenda.Huyo itakua ni wewe mwenyew. Mbona hajulikan?