George Ambangile asaini rasmi wasafi fm

Huyo jamaa namkubali, ila tulichozoea sisi mashabiki tusio na vituo maalum tunataka mtu anapoongea pointi ya msingi aachwe amalize ndio mpige tangazo. Sio mtu anaongea then unasikia jingle ya ghafla au tangazo. (hiyo tabia wanayo njia panda ya cocacola na kawe)
Tunategemea waje na kitu kipya cha kumjali client.
 
Hii ngoma inayovuma sana muda si mrefu itapasuka tu,labda mwenyewe arudi huko dubai kuja kuisimamia
 
Sahihi kabisa maana wasafi mwaka huu wamejipanga sana tena sana na hopeful watakuwa big media in Tanzania soon oooooooh sorry kumbe wameshakuwa maana wanapatikana Africa nzima rather than any media in Tanzania
 
Mkuu, hata mimi huwa nakereka sana, kwenye vipindi vinavyokuwa LIVE, viwe Radio au TV. Mtu anaongea, watu wanafuatilia, mara wanaruhusu simu. Mpiga simu, wakati mwingine ataongea tofauti kabisa na anachoongea mchangiaji. Matokeo yake, akirudishwa aliyekuwa anaongea, radha yote iliyokuwepo inapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…